Mfanyabiashara wa Kisii aliyekuwa karibu kufilisika asema biashara yake imeanza kustawi tena baada ya msaada

Hasara zilizomfanya akate tamaa

John Nyakundi, mfanyabiashara wa nguo mjini Kisii, anasema alifika hatua ya kukata tamaa baada ya biashara yake kuanza kuporomoka ghafla. Kwa zaidi ya mwaka mmoja, alikuwa akipata hasara mfululizo licha ya kujaribu mbinu tofauti za kuvutia wateja.

Kwa mujibu wake, wateja walipungua kwa kiasi kikubwa na hata wale waliokuwa wa kudumu walianza kupotea. Bidhaa zilikaa dukani kwa muda mrefu bila kuuzwa na gharama za uendeshaji zikazidi kuwa kubwa.

“Nilikuwa nafungua duka kila siku lakini hakuna mabadiliko. Ilifika mahali nikahisi kufunga kabisa,” alisema John.

Hali hiyo ilimuweka kwenye presha kubwa ya kifedha kwani alikuwa pia na madeni aliyokuwa anapaswa kulipa.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post