Mimi naitwa Elizabeth, natokea mkoani Dodoma, maeneo ya Area D. Maisha yangu ya ndoa yalikuwa kwenye kilele cha mafanikio kwa nje kwa sababu mume wangu ni mwanasiasa anayejulikana nchi nzima. Lakini siri iliyokuwa ndani ya nyumba yetu ilikuwa ni ya kusikitisha.
Kwa muda mrefu, nilikuwa napitia changamoto ya kukosa hamu ya tendo la ndoa na kuwa mkavu kiasi kwamba nikawa naogopa kumuona mume wangu akirudi nyumbani.
Ili kukwepa unyumba, nilianza tabia ya kujifanya nimevamiwa na “pepo la usingizi”, nikifika tu chumbani, najilaza sakafuni au kitandani na kuanza kukoroma kwa nguvu hata kama sijalala, ili tu mume wangu asiniguse.
Mume wangu alianza kuchoka na tabia yangu. Alisema, “Elizabeth, mbona kila nikirudi unakuwa umechoka kiasi hiki? Unafanya kazi gani Dodoma nzima mpaka ukorome kama trekta?”. Nilianza kukosa amani maana nilijua mume wangu anaweza kuanza kutafuta mwanamke mwingine nje, na hali hiyo ingeharibu sifa yetu kama familia ya kiongozi.
Nilienda kwa madaktari bingwa hapa Dodoma wakaniambia nina upungufu wa damu, lakini dawa walizonipa hazikurudisha hamu wala kuondoa ukavu uliokuwa unanichoma kama moto wakati wa tendo.SOMA ZAIDI.

Post a Comment