Kulikuwa na tukio la ajabu sana katika mtaa wa Kariakoo jijini Dar es Salaam baada ya kijana mmoja kudaiwa kuingia katika duka la dhahabu kwa nia ya kuiba lakini ghafla kushindwa kutoka nje.
Tukio hilo lilivuta umati mkubwa wa watu waliokuwa wakishuhudia hali hiyo ya kushangaza.
Kwa mujibu wa mashuhuda, kijana huyo aliingia dukani kama mteja wa kawaida na kuanza kuangalia mapambo ya dhahabu. Baada ya muda mfupi, alijaribu kuchukua pete moja kwa siri na kuanza kuelekea mlangoni.
Hata hivyo, alipofika karibu na mlango, ghafla alisimama na kushindwa kabisa kusonga mbele. Alijaribu kupiga hatua lakini miguu yake ilionekana kama imeganda sakafuni. Alianza kuhangaika, jasho likimtoka, huku akionekana kuchanganyikiwa.
Wafanyakazi wa duka walishtuka na kumtazama kwa makini, ndipo wakagundua kuwa alikuwa anajaribu kuondoka na mali ambayo hakuilipia. Watu walikusanyika nje ya duka huku wakishuhudia tukio hilo lisilo la kawaida.
Mmoja wa mashuhuda alisema, “Alikuwa anajaribu kutoka lakini miguu haikumsikiliza kabisa. Ilikuwa kama amegandishwa.”
Baadhi ya wafanyabiashara walidai kuwa tukio hilo linaweza kuwa linahusiana na mbinu za ulinzi wa biashara dhidi ya wizi.SOMA ZAIDI..............

Post a Comment