Binti aliyekuwa akifua nguo za majirani mtaani apata dili la benki

Maisha ya mtaani yanaweza kukufanya uonekane kama huna thamani yoyote, hasa unapokuwa na shahada yako mkononi lakini unalazimika kufanya kazi za udhalilishaji ili usife njaa. Naitwa Anna, mkazi wa mkoa wa Dodoma.

Licha ya kuwa na Shahada ya Benki na Fedha (Banking and Finance), nilijikuta nikisota mtaani kwa miaka nane. 

Hali ilikuwa mbaya kiasi kwamba nililazimika kupita nyumba kwa nyumba kufua nguo za majirani ili nipate pesa ya kununua mlo mmoja kwa siku.

Kila nikiangalia umri wangu ukisogea kuelekea miaka 35, moyo ulikuwa unanipasuka kwa huzuni. Marafiki zangu walikuwa wameshaanza familia na kuishi maisha mazuri, lakini mimi nilikuwa bado ninalala kwenye godoro la sponji lililochakaa.

Nilihisi kama kuna giza nene limefunika nyota yangu, maana hata wachumba walikuwa wanakuja na kukimbia bila sababu, huku kila usaili wa kazi niliokwenda ukiishia kwa mimi kukataliwa.SOMA ZAIDI....

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post