Kuna wakati unafika unahisi hata Mungu amekusahau, hasa unapoona wadogo zako uliowatangulia shule wanapata kazi na kuoa au kuolewa, huku wewe ukiwa bado unategemea elfu mbili ya vocha kutoka kwa shemeji yako.
Mimi naitwa Neema, mkazi wa Uyole, jijini Mbeya. Nilimaliza Shahada yangu ya Maendeleo ya Jamii (Community Development) tangu mwaka 2018, lakini maisha yangu yakawa ni ya kusubiri miujiza isiyotokea.
Nilikuwa naishi kwa kaka yangu, na mke wake alianza kuniona kama kero. Maneno ya kashfa kama “msomi gani unashinda unakula tu” yalikuwa chakula changu cha kila siku.
Umri wangu ulikuwa unakaribia miaka 32, na kila mwanaume aliyenitaka alikuwa ananiona kama mbeba mizigo kwa sababu sina kazi.

Nilianza kupoteza matumaini, nikaanza kuvaa nguo zilizochakaa na kujichimbia ndani kwa aibu ya kuchekwa na majirani.Soma Zaidi.
Post a Comment