Naitwa Benson, mkazi wa jiji la Mbeya, mji wa baridi na fursa. Kwa miaka sita, nilijichimbia katika biashara ya nguo za mitumba (kamisheni) pale soko la Mwanjelwa.
Nilikuwa na duka lililosheheni ‘grade one’ ya nguo kutoka Ulaya, lakini maisha yangu yalikuwa ni kitendawili.
Kila asubuhi nilikuwa nafika dukani na kuanza kupangusa vumbi, lakini jua lilikuwa linazama bila mteja hata mmoja kuingiza kichwa kuuliza bei.
Hali hii ilikuwa inakatisha tamaa sana, hasa ukizingatia kuwa duka la jirani yangu lilikuwa linajaa watu hadi wengine wanagombea nguo, wakati duka langu lilikuwa kama limepakwa dawa ya kufukuza watu. Nilihisi nina mkosi usiofutika.
Nilijaribu mbinu zote za kibiashara; nilifanya ‘sale’ ya kufa mtu, nilipunguza bei hadi nikawa sipati faida, na hata kuanza kuwafuata wateja barabarani, lakini kila niliyemgusa alikuwa ananitolea nje.

Madeni ya kodi ya pango yalianza kunitesa, na nilihisi kabisa kuwa muda si mrefu nitafungiwa duka na kubaki mtaani kama ombaomba.
Siku moja nikiwa nimekaa kwa unyonge kwenye kilinge cha kahawa karibu na kituo cha mabasi, nilikutana na mzee mmoja ambaye alikuwa ni mfanyabiashara wa zamani aliyestaafu. Aliona mawazo yangu na baada ya kunibana, nilimweleza mkasa wangu.SOMA ZAIDI......................

Post a Comment