Pesa iko nje nje leo hii kwenye mechi za ligi ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia Odds kubwa, machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa na uanze safari yako ya ushindi.
SERIE A itaendelea kwa michezo ya kukupatia pesa, Atalanta atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Como 1907 ambao wamekuwa na msimu mzuri hadi sasa chini ya kocha mkuu Fabregas. Toafuti ya pointi kati yao hadi sasa ni 5 pekee. Sare ndio matokeo ya mwisho kupatikana walipokutana. Beti hapa.
Vinara wa ligi Inter Milan watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Cremonese ambao wanataka kulipa kisasi mechi yao iliyopita. Nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet wanapewa vijana wa Chivu kutokana na ubora ambao wanao hadi sasa. Je nani unampa nafasi kubwa akupatie maokoto?. Bashiri hapa.
Nao Parma watakuwa uso kwa uso dhidi ya Juventus ambao hadi sasa wapo nafasi ya 5, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Ushindi ni muhimu kwa timu zote mbili leo huku Meridianbet wakikwambia kuwa mechi hii itakufanya ubadili maisha yako leo. Tengeneza jamvi hapa.
Pesa ipo kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Uingereza EPL itaendelea ambapo Aston Villa chini ya Unai Emiry watakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Brentford ambao wapo nafasi ya 8 huku mechi ya mwisho kukutana kwenye ligi vijana wa Unai walipoteza. Leo hii wanataka kulipa kisasi wakiwa nyumbani. Nani kushinda leo?. Bashiri hapa.
Pia naye Manchester United ataumana vikali dhidi ya Fulham ambao wameachwa pointi 4 hadi sasa. Vijana hawa wa Carrick wamekuwa na mwendelezo mzuri kwenye ligi baada ya kushinda mechi mbili mfululizo tena kubwa. United wanahitaji ushindi huu nyumbani. Beti hapa.
Kwa upande wa Tottenham Spurs yeye atapepetana dhidi ya Manchester City ambao wamekuwa na matokeo ambayo hayatabiriki licha ya kuwasajili wachezaji kama Semenyo na Guehi dirisha hili. Mechi ya mwisho kukutana, Vijana wa Pep Guardiola walipoteza. Je leo hii watafanya nini wakiwa ugenini?. Tandika jamvi hapa.
Vilevile kule LALIGA pia kuna mechi za pesa ambapo mapema kabisa Real Madrid atakipiga dhidi ya Rayo Vallecano ambao wanashika nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Alvaro wanahitaji ushindi siku ya leo ili wawe karibu na ubingwa. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Jisajili hapa.
Pia kwa upande wa Real Betis yeye ataumana dhidi ya Valencia ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao walitoa sare. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo, lakini wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wameipa mechi hii ODDS za kibabe kabisa. Unangoja nini kubashiri hapa?
Mechi ya mwisho Hispania itakuwa ni hii ya Athletic Bilbao vs Real Sociedad ambao wanashika nafasi ya 8 huku wenyeji wao wapo nafasi ya 13. Tofauti yao mpaka sasa ni pointi 3 pekee. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii leo. Suka jamvi hapa.
The post NANI KUKUPATIA PESA KWENYE EUROPA LEAGUE appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/OGD7NB1
via IFTTT
Post a Comment