Nilikuwa kwenye ndoa ambayo kwa nje ilionekana ya kawaida. Hakukuwa na ugomvi mkubwa, hakukuwa na kelele. Lakini kulikuwa na tatizo moja lililonisumbua kimya kimya kila aliponikaribia, mwili wangu ulikataa kabisa.
Sikuwa najifanya, wala sikuwa namchukia. Ilikuwa ni kama mwili wangu na moyo wangu havikuelewana tena. Nilitembea hospitali kadhaa. Vipimo vikafanywa, majibu yakarudi yale yale: uko sawa.
Lakini nilijua ndani yangu kuna kitu hakiko sawa. Nilihisi hatia, huzuni, na hofu kuwa ndoa yangu ingeangamia kwa jambo ambalo sikuweza kulieleza vizuri hata kwa maneno.
Kadri siku zilivyopita, ukimya ukaingia kati yangu na mume wangu. Nilijitenga, nikajilaumu, na wakati mwingine nikajikuta nikilia peke yangu usiku. Madaktari walikuwa wamesema niko sawa, lakini kwa nini basi mwili wangu ulikataa?Soma Zaidi.

Post a Comment