Maisha ya hapa Mwanza ‘Rock City’ yalinigeuka kuwa chungu baada ya biashara yangu ya maduka ya nguo kuporomoka ghafla. Jina langu ni Kelvin, na kwa miaka mitano nilikuwa na mwanamke ambaye nilipanga kumuoa.
Lakini mara tu nilipoishiwa fedha na kuanza kusota, yule mwanamke alinizunguka na kuondoka na mwanaume mwingine mwenye nazo.
Nilijikuta nimebaki mpweke, sina mpenzi wala sina mbele wala nyuma kimaisha. Nilikonda kwa mawazo, nikijihisi nimechezewa mchezo mchafu na washindani wangu wa kibiashara ili nionekane sifai.
Kwa zaidi ya miaka mitatu, nilikuwa naishi kama kiumbe aliyelaaniwa. Kila mwanamke niliyejaribu kumtongoza alikuwa akinikataa au kunicheka kwa dharau. Nilihisi nyota yangu imezimwa kabisa.Soma Zaidi.

Post a Comment