Nilikuwa Nachekwa Na Watu Kwa Kufeli Darasani Lakini Niliamua Liwe Liwalo Nikatafuta Kinga, Sasa Nahitimu

 


Kipindi nilipokuwa shule, nilijulikana kama mwanafunzi “anayejaribu lakini hafanikiwi.” Kila muhula ulipofika mwisho, majina yaliposomwa darasani, langu halikuwahi kukaribia orodha ya wanaofanya vizuri.

Walimu waliniona kama aliyekata tamaa. Wenzangu walinicheka, wengine wakinionea huruma. Kila niliporudi nyumbani, nilikuwa na mzigo mkubwa moyoni hisia kwamba nimewaangusha wale waliokuwa wananiamini.

Nilijitahidi kusoma. Nilikaa masaa mengi usiku, lakini kichwa kilionekana kizito, kumbukumbu ikikataa kukaa. Kila jaribio lilionekana kuishia pale pale. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post