Adui Zangu Walikuwa Wananitabasamia Siku Nilipowafunga Kimya Kimya Wakaanza Kujitenga

 


Kwa muda mrefu nilikuwa mtu wa ajabu machoni pa wengine. Nilifanya kazi kwa bidii, lakini kila nilichopata kilipotea ghafla. Nilipojaribu kuanzisha jambo jipya, lilivurugika kabla halijakomaa.

Kilichonichanganya ni kwamba, watu waliokuwa karibu nami walikuwa wakinitabasamia kila siku, wakinionyesha upendo wa juu juu, huku nyuma ya pazia mambo yangu yakianguka moja baada ya jingine.

Nilipoanza kuchunguza maisha yangu kwa makini, niliona mfanano wa ajabu. Kila niliposhiriki habari njema mpango, hatua, au mafanikio madogo ndani ya muda mfupi kulikuwa na tatizo. Ama pesa zinapotea, ama migogoro inaibuka, ama ninajikuta nimechoka bila sababu. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post