Ada ya Shule Ilinikaribisha Januari Bila Pesa Hatua Niliyopiga Kuokoa Watoto Wangu

 


Januari ilipofika, nilikuwa na wasiwasi mzito moyoni. Shule zilikuwa zinafunguliwa, lakini mfukoni sikuwa na kitu cha maana. Sikukuu zilinimaliza kifedha, na ada ya shule ikabaki kuwa ndoto.

Nilihofia siku ya kwanza ya muhula, walimu wakiuliza ada na watoto wangu wakirudishwa nyumbani kwa aibu. Nilijilaumu sana kwa kutopanga mapema. Nilianza kukimbizana na suluhisho za haraka. Niliomba marafiki, nikajaribu kazi za mkono, hata nikafikiria kukopa tena.

Lakini kila nilipopata pesa kidogo, haikutosha. Muda ulikuwa unaenda mbio, na presha ilizidi. Usiku usingizi haukuja; nilikuwa nawaza mustakabali wa watoto wangu na kama wangepoteza masomo kwa sababu ya fedha. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post