Nilianza kuhisi kuna jambo lisilo la kawaida muda mrefu kabla ya ukweli kujitokeza. Mpenzi wangu alikuwa amebadilika ghafla. Simu zikawa siri na safari zisizoeleweka zikawa nyingi. Nilijipa moyo kuwa ni mawazo tu ya wivu lakini ndani yangu kulikuwa na sauti iliyonikataa kukaa kimya.
Siku nilipopata ukweli ilikuwa kama ndoto mbaya. Nilijua kuwa mpenzi wangu alikuwa ameondoka Nairobi akiwa na mwanasiasa kutoka Togo aliyekuwa akifanya shughuli zake jijini.
Habari zilinifikia kuwa walilala pamoja na baadaye wakaondoka bila kuniaga. Nilihisi fedheha hasira na maumivu kwa wakati mmoja. Nilikuwa nimevunjika moyo lakini sikutaka kufanya maamuzi ya pupa. Soma zaidi hapa

Post a Comment