Nilipoingia kwenye ndoa, sikuwahi kufikiria siku moja ningejikuta nikipitia msukosuko wa aina hii. Kila mara nilipoligusia jambo la kuoa mke wa pili, mke wangu alikuwa mkali sana, akisema hataruhusu kabisa.
Niliheshimu msimamo wake, nikachagua kunyamaza na kuendeleza ndoa yetu kwa amani.
Lakini mambo yalianza kubadilika polepole. Alianza kuchelewa kurudi nyumbani, simu ikawa siri, na mapenzi yakapoa ghafla.
Nilijaribu kuzungumza naye, lakini kila mazungumzo yaliishia kwenye mabishano. Ukweli uliponifikia, uliniumiza sana. Nilikuja kugundua kuwa alikuwa na mahusiano ya siri na wanaume watatu tofauti. Soma zaidi hapa

Post a Comment