Je unajua kuwa kuna pesa ya kutosha kabisa leo hii ukitengeneza jamvi lako na Meridianbet?. Pesa zipo nyingi sana endapo wewe utaamua kutengeneza jamvi lako la ushindi hapa.
LIGUE 1 kule Ufaransa nayo kama kawaida ambapo Rennes atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Paris FC ambao ndio wamepanda daraja msimu huu. Mgeni ametoka kushinda mechi yake iliyopita huku mwenyeji naye akishinda. Hivyo ni mechi ambayo kila timu imetoka kupata matokeo mazuri kwenye mechi yake iliyopita. Je nani kuondoka na ushindi?. Tandika jamvi hapa.
SERIE A kule Italia kuna mechi ya pesa pia kati ya Pisa vs Cremonese ambapo tofauti yao ni pointi 8 hadi sasa. Mwenyeji yupo nafasi ya 17 na mgeni wake nafasi ya 10. Meridianbet inasema kuwa mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa.
Unaweza ukabashiri pia mechi ya CHAMPIONSHIP kati ya Watford vs Bristol City ambapo mara ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi mnono. Meridianbet wameipa mechi hii Odds nzuri sana ambazo unaweza ukabashiri na ukaondoka na ushindi mnono. Beti hapa.
Michezo ya kasino kukutajirisha leo cheza Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
LALIGA kutakuwa na mechi moja kali kabisa ambapo Elche atamleta kwake Real Sociedad ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 2 pekee. Mara ya mwisho kukutana mgeni aliondoka na ushindi. Je nani mwenyeji kulipa kisasi leo?. Suka jamvi lako la ushindi na Meridianbet leo.
Pia kule Ujerumani, BUNDESLIGA kutakuwa na mechi kali sana kati ya Werder Bremen vs Wolfsburg ambao mpaka sasa wana pointi 8 huku wenyeji wao wakiwa na pointi zao 12. Kila timu inahitaji ushindi ili kusogea nafasi ya juu zaidi. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Jisajili na ushinde hapa.
The post TENGENEZA PESA ZA KIRAHISI NA MERIDIANBET LEO…… appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/oYX0y4w
via IFTTT
Post a Comment