Jina langu ni Agnes Njeri, mama wa watoto wawili kutoka Nakuru. Kwa muda mrefu nilikuwa nikiishi na huzuni moyoni kila nilipofika shule ya mwanangu. Kila mara nilipoitwa na walimu, nilijua ni habari mbaya.
Mtoto wangu alikuwa wa mwisho darasani kila muhula, na hata majaribio madogo hayakuwa na mabadiliko. Nilihisi nimefeli kama mzazi. Nilijaribu kumpeleka kwa walimu wa ziada, nikamnunulia vitabu vingi, lakini bado hakukuwa na tofauti.
Nilijikuta nikianza hata kuficha ripoti za shule ili majirani wasione aibu yangu. Wengine walinicheka wakisema mtoto huyo hana akili. Lakini moyoni nilijua mwanangu sio mjinga, alihitaji msaada ambao sikuwa nimegundua bado. Soma zaidi hapa

Post a Comment