Kupitia promosheni kali na za uhakika ya mwezi huu Oktoba, Wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia kuwa ni rahisi kujishindia simu janja aina ya Samsung A26 kirahisi kabisa leo endapo utabashiri mara nyingi kwenye mechi zako kuanzia 3 na kuendelea leo.
Jumatano ya Zawadi ni moja ya promosheni pendwa kabisa ndani ya Meridianbet ambapo hii sio mara ya kwanza inafanyika. Na safari hii imeanza tarehe 1 Okoba na itaisha tarehe 30 Oktoba yaani ni promo ya mwezi mzima.
Wanaotakiwa kushiriki promosheni hii ni wateja wote wa Meridianbet lakini ni lazima wawe wanabashiri kwa kutumia kitochi au USSD yaani *149*10# huku mechi ambazo utatakiwa kubashiri ni kuanzia 3 na kuendelea ambazo ni za mpira wa miguu pekee.
Ili kuweza kujishindia Samsung A26 mpya kabisa ndani ya mwezi huu ni lazima mteja aweze kubashiri mechi kuanzia 3 na zaidi ambazo moja kwa moja zitamfanya aibuke bingwa endapo timu hizo ambazo amechagua zitashinda zote.
Ukiachana na promosheni hiyo, vilevile Meridianbet inakwambia kuwa leo hii unaweza ukatusua kwa kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ili kumiliki simu janja aina ya Samsung A26 leo Meridianbet wanasema wewe bashiri tuu mechi za mpira zote ili kufanya ndoto zitimie kwa namna moja ama nyingine. Unangoja nini sasa?. Ingia kwenye akaunti yako ya ubashiri na ubeti sasa.
NB: Wakati wa promosheni hii ya Jumatano ya Zawadi, mteja hataruhusiwa kufanya CASH OUT kwenye mkeka wake kwani kufanya hivyo moja kwa moja kutamfanya awe amejiondoa kwenye ushiriki wa mashindano. Hivyo mteja anatakiwa asubiri mpaka mechi zake zote ziishe ndipo ataweza kujiweka kwenye washindi.
Bashiri mara nyingi, ndipo upate nafasi kubwa zaidi ya kushinda sasa. Wateja wote wanaruhusiwa kushiriki kwenye promosheni hii, hivyo changamkia fursa hii leo. Dau lolote linaruhusiwa wakati wa promosheni hii.
The post MILIKI SAMSUNG A26 NA MERIDIANBET SASA…. appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/SbJYpzQ
via IFTTT
Post a Comment