WIliete Wafuta viingilio mechi yao dhidi ya Yanga kesho

 


Kesho Ijumaa, Septemba 19 mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Wiliete Sc dhidi ya Yanga utapigwa dimba la Novemba 11, saa 12 jioni

Sasa wenyeji wa mchezo huo, Wiliete Sc wamefuta viingilio wakitangaza mashabiki kuingia bure

Hii ni mara ya kwanza kwa Wiliete Sc kushiriki mashindano ya CAF, klabu hiyo ikiwa na takribani miaka 7 tu tangu ilipoanzishwa

Uwanja wa Novemba 11 unachukua takribani mashabiki 48,500, wenyeji wanajaribu kujaza dimba hilo ingawa sio timu kubwa inayofahamika sana nchini Angola

Msimu uliopita Wiliete Sc walimaliza nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi nyuma ya Petro Atletico na kujihakikishia tiketi ya kucheza ligi ya mabingwa kwa mara ya kwanza

Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza  HAPA  au Bonyeza HApa   Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post