Waliiba Nguo Zangu Msafara Mzima, Lakini Hatua Niliyopiga Iliwarudisha Wezi Wenyewe Kuniletea Zote

 

Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja ningekuwa mhanga wa wizi mkubwa namna ile. Nilikuwa nimetoka sokoni baada ya kuuza bidhaa zangu na kununua nguo mpya kwa ajili ya familia yangu.

Nilipofika nyumbani, nilipanga nguo zangu vizuri chumbani na kuanza kushukuru Mungu kwa biashara nzuri niliyokuwa nimepata. Usiku ulipoingia, nilisikia mbwa wanabweka lakini sikutilia maanani. Nilipoamka asubuhi, nilipata mlango umefunguliwa na nguo zote zimetoweka.

Nilihisi maumivu makali moyoni. Hizo ndizo zilikuwa akiba yangu ya miezi kadhaa. Nililia kwa uchungu na hata majirani walikusanyika kuona kilichotokea.

Wengine walinitia moyo lakini wengine waliniambia nisisumbuke kwa sababu nguo zangu hazitarudi tena. Hilo liliniumiza zaidi. Nilihisi kama nililaaniwa kwa sababu huu haukuwa wizi wa kwanza; nilishapoteza vitu vidogo vidogo mara nyingi. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post