Kiungo mshambuliaji wa Yanga Ecua Celestine amechagua kuitumikia timu ya Taifa ya Chad badala ya Ivory Coast
Juzi katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii alitangaza uamuzi wake huo akiitaja nchi ya Chad kama Taifa lake la pili baada ya Ivory Coast
Ecua anatarajiwa kuitumikia Chad kwa mara ya kwanza katika mechi za kuwania kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Ghana na Madagascar
Ecua ana uraia pacha wa nchi za Ivory Coast na Chad, baada ya kuitumikia Ivory Coast ngazi ya vijana, sasa amechagua kuitumikia Chad katika timu ya wakubwa
Nyota mwingine wa Yanga Lassine Kouma kutoka Mali nae yuko mbioni kubadili uraia wake kuelekea Chad
Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki ambaye sasa anaitumikia Wydad, aliamua kuitumikia timu ya Taifa ya Burkina Faso licha ya kuwa ni mzaliwa wa ivory Coast
Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.
.jpeg)
Post a Comment