Habari za mtaa wetu zilisambaa haraka siku ile tulipogombana na mpenzi wangu hadharani. Tulikuwa tumepanga maisha pamoja lakini kwa makosa yangu mwenyewe, nilimfanya ajisikie kama hanifai.
Nilimwumiza moyo, akanitukana na kuondoka kwa hasira. Watu walishuhudia yote na walinicheka wakisema sitamwona tena. Nilijua nilipoteza kila kitu maana tulikuwa tumepanga hata ndoa.
Siku zilizofuata zilikuwa chungu sana. Kila nikipita mitaani nilihisi watu wakinicheka. Nilimwandikia ujumbe hakujibu. Nilipompigia hakuchukua simu. Nilimfuata kazini akanionyesha wazi kuwa sitakiwi karibu yake.
Nilianza kupoteza hamu ya kula na kulala. Kila kitu maishani mwangu kilisimama. Marafiki walinishauri nimsahau lakini moyo wangu ulikataa. Nilihisi kama nilikuwa nimepoteza sehemu ya nafsi yangu. Soma zaidi hapa

Post a Comment