Nilikuwa nimekata tamaa kabisa baada ya kukosa visa mara tatu mfululizo. Mara ya kwanza nilikataliwa kwa makosa madogo tu ya kiufundi, mara ya pili nikaambiwa sifai kifedha na mara ya tatu hata sikupewa nafasi ya mahojiano. Ilikuwa aibu kwa familia yangu na marafiki wangu. Wengine walianza kuniambia niache kufikiria kwenda nje ya nchi kwa sababu labda haikuwa riziki yangu. Lakini ndoto yangu ya kuishi na kufanya kazi nje ya nchi ilikuwa kubwa kuliko maneno ya watu.
Kila kukataliwa kuliniumiza moyo. Nilianza kupata msongo wa mawazo na hata kukosa usingizi. Nilihisi kuna kitu kisicho cha kawaida kilichokuwa kinanizuia. Nilianza kuamini labda kuna watu walionionea wivu na kunifungia njia. Nilijaribu mara ya nne kuandaa nyaraka lakini nilihisi hofu na woga mkubwa.
Ndipo rafiki yangu wa zamani alinieleza kuhusu Kiwanga Doctors. Aliniambia kwa sauti ya uhakika kuwa walimsaidia kushinda kesi ya ardhi baada ya kupoteza mara mbili kortini. Nilivutiwa na maelezo yake na nikajipa moyo kujaribu. Niliwatafuta kwa siri bila hata kuambia familia yangu kwa sababu nilijua wangeniambia nimekosa imani. Soma zaidi hapa

Post a Comment