Matokeo Yanga vs Jkt Tanzania leo mechi ya Kirafiki

 Kikosi cha Yanga leo kimecheza mechi ya kujipima nguvu dhidi ya JKT Tanzania dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni

Yanga imeendeleza rekodi yake ya ushindi wa asilimia 100 katika mechi za kirafiki ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1

Shujaa wa Yanga katika mchezo huo alikuwa ni Denis Nkane aliyepachika mabao yote mawili akimalizia asisti za Maxi Nzengeli na Prince Dube

Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza  HAPA  au Bonyeza HApa   Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post