Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Young Africans (Yanga SC), leo wanaanza safari yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26 kwa kuvaana na Wiliete SC ya Angola katika mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Novemba 11, Luanda, majira ya saa 12 jioni kwa saa za Tanzania.
Kikosi cha Yanga kilitua Luanda Jumatano jioni, na jana Alhamisi kilifanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja utakaotumika kwa mchezo huo, kuhakikisha maandalizi yamekamilika kabla ya mtihani wa leo.
Usikose kuitazama mechi hii ya WILIETE VS YANGA pia mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

Post a Comment