LIVE LEO: ITAZAME MECHI YA GABORONE 🆚 SIMBA SC LIVE HAPA

Mechi za ligi ya mabingwa hatua ya awali zinaendelea kutimua vumbi ambapo leo wawakilishi wengine wa Tanzania katika michuano hiyo, Simba Sc watakuwa uwanjani huko Francistown kumenyana na Gaborone United

Baada ya kufanya vyema michuano ya kombe la Shirikisho (CAFCC) msimu uliopita kwa kucheza fainali, Mnyama amepania kurejea kile alichofanya lakini wakati huu kwenye michuano mikubwa zaidi ya ligi ya mabingwa

Mkufunzi wa Simba Fadlu Davids amesema hautakuwa mchezo mwepesi lakini wamejiandaa vyema wakiwa na dhamira ya kushinda mchezo

Simba ilikamilisha maandalizi yake jana tayari kwa mtanange huo utakaopigwa saa 2 usiku kwa saa za Tanzania

Usikose kutazama mechi ya GABORONE VS SIMBA leo, pia na mechi za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza  HAPA  au Bonyeza HApa   Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post