Dabi ya Ngao ya Jamii haina kipengele! Ni Jumanne ya leo Septemba 16 katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni
Yaani mbabe lazima ajulikane kabla ya timu zote kuelekea katika majukumu ya mechi za ligi ya mabingwa
Yanga watacheza dhidi ya Wiliete huko Angola Septemba 21 wakati Simba watacheza dhidi ya Gaborone United huko Botswana Septemba 20
Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.
.jpeg)
Post a Comment