Simba watoa taarifa hii kuhusu msanii Mbosso


 Mbosso anayetamba na kibao chake maarufu 'Aviola', huyu Mnyama na ataungana na Wanasimba wenzake katika Tamasha hilo

Tamasha kubwa lazima lipambwe na msanii mkubwa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya klabu ya Simba kumthibitisha msanii wa Bongo Fleva Mbosso kuwa ataongoza Burudani katika Tamasha la Simba Day litakalofanyika Septemba 10 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Yeye amepewa heshima ya mtumbuizaji mkuu lakini kutakuwa na wasanii wengine kibao ambao watatoa burudani kwa Wanamsimbazi

Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au HAPA kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post