SIMBA KUCHEZA NA TIMU HII SIKU YA SIMBA DAY TAREHE HII


 Mpaka sasa klabu ya Simba bado haijaweka hadharani tarehe ya Tamasha kubwa zaidi la Burudani ukanda wa Afrika Mashariki 'SIMBA DAY' ingawa taarifa za ndani zimedokeza kuwa Tamasha hilo huenda likafanyika Septemba 07

Mabingwa wa ligi kuu ya Kenya, klabu ya Polisi huenda ikashiriki katika Tamasha hilo ambalo hutumika kutambulisha kikosi kuelekea msimu mpya wa mashindano

Mwaka huu kumekuwa na changamoto ya ratiba iliyosababishwa na michuano ya CHAN inayoendelea katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda

Ligi katika nchi mbalimbali tayari zimeanza na hivyo kupelekea ugumu wa kupata timu alikwa nje ya hizi za Afrika Mashariki ambazo ligi zitachelewa kuanza kutokana na ushiriki katika michuano hiyo

Taarifa za ndani zimebainisha kuwa Polisi Kenya imetumiwa mwaliko rasmi, kuja Tanzania kunogesha Tamasha hilo

Polisi Kenya ndiko alikotoka kiungo mshambuliaji wa Simba Mohamed Bajaber aiyetua Msimbazi katika dirisha hili

Usikose kuitazama mechi ya RAYON SPORT VS YANGA IJUMAA HII pia michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app ikileta neno its harmful usiogop ni kwasababu bado hatujaiweka playstore ni APK

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post