Wakazi wa mtaa mmoja hivi karibuni walipata taswira isiyo ya kawaida kabisa Jumamosi, Agosti 2, 2025, baada ya taarifa kusambaa kama moto wa nyika kwamba wapenzi wawili waliokuwa wameficha uhusiano wao walikutwa wakiwa wamekwama kitandani katika nyumba ndogo ya kulala wageni iliyoko pembezoni mwa soko la mjini.
Tukio hilo lilivuta umati mkubwa wa watu, wengine wakiwa wanapiga video, wengine wakibishana juu ya sababu ya jambo hilo, na wengine wakituma taarifa kwenye mitandao ya kijamii kwa haraka.
Kwa mujibu wa meneja wa nyumba hiyo ya wageni, wawili hao walifika asubuhi wakiwa na bashasha kubwa, wakijifanya ndugu waliotoka mbali kuja kufanya biashara sokoni. Hata hivyo, baada ya kuingia chumbani, ghafla kusikika makelele yasiyo ya kawaida yakifuatiwa na kilio cha kuomba msaada kilichodumu kwa dakika kadhaa. Soma zaidi hapa

Post a Comment