Mzee Aliyekuwa Kitandani Kwa Miaka 4 Aanza Kutembea Baada Ya Kupata Tiba Isiyo Ya Hospitali

 

Wakazi wa kijiji cha Mwabomba walishuhudia tukio la kushangaza ambalo wengi hawatakaa walisahau maishani mwao. Mzee mmoja, aliyekuwa amepoteza uwezo wa kutembea kwa zaidi ya miaka minne, alionekana akitembea taratibu akisaidiwa na kijiti cha mti huku uso wake uking’aa kwa tabasamu. Tukio hilo lilitokea Jumapili mchana, baada ya mzee huyo kufanyiwa tiba ambayo haikuhusisha hospitali wala madaktari wa kisasa.

Kwa miaka yote minne, mzee huyo alikuwa amejifungia ndani ya chumba chake, akihudumiwa na familia yake. Wengi walikuwa wamekata tamaa, wakiamini kuwa hangeweza tena kuinuka wala kutembea. “Tulijua ndiyo mwisho wa maisha yake ya kusimama. Tulibaki kumwombea tu,” alisema jirani mmoja aliyehudhuria kushuhudia.

Siku ya Jumamosi, habari zilienea kuwa kuna mtu wa tiba za mitishamba alikuwa amealikwa kumsaidia mzee huyo. Wanakijiji walijitokeza kwa wingi kushuhudia, wengine wakiwa na shauku na wengine wakiwa na mashaka. Ndani ya saa chache baada ya kupata tiba hiyo, mzee alianza kusogea miguu yake, jambo ambalo lilikuwa limekoma kwa muda mrefu. Asubuhi iliyofuata, aliweza kusimama na kuchukua hatua chache, na kufikia Jumapili, alitembea mbele ya wote waliokuwa wamekusanyika. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post