Mwanamke Atoa Siri ya Kumng’oa Ndugu Yake Kwenye Shamba la Urithi Wakiwa Kwenye Kesi ya Familia

 


Habari za kushangaza zimetokea katika kijiji kimoja ambapo kesi ya familia kuhusu urithi wa shamba imechukua mwelekeo usiotarajiwa. Mwanamke mmoja aliamua kuvunja ukimya na kufichua siri ambayo imewaacha ndugu zake na wanakijiji wote midomo wazi.

Kesi hiyo ilikuwa imepamba moto kwa muda mrefu huku ndugu wakisakamana kortini wakigombea kipande cha ardhi walichoachiwa na baba yao. Kila upande ulikuwa na mashahidi na vielelezo, lakini hakukuwa na suluhisho la moja kwa moja.

Katika moja ya vikao vya familia vilivyofanyika kabla ya kikao cha korti, mwanamke huyo aliibuka na ushahidi wa kushangaza. Alidai kuwa hakuwa na nia ya kupoteza urithi wake kwa ndugu zake waliokuwa wakimnyanyasa kwa miaka mingi. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post