Mke apagawa baada ya mume kuoa mchepuko kimya kimya

 

Sikujua kwamba alikuwa anajiandaa kuoa mwanamke mwingine kwa siri. Mpango wa kando ambaye aliniambia ni “mtumishi tu wa ofisi.” Sikuamini macho yangu nilipoalikwa harusi na rafiki yangu aliyedhani kuwa naifahamu familia hiyo. Nilishtuka nilipomwona mume wangu akiwa jukwaani akimvisha pete mwanamke niliyemshuku kwa muda mrefu.

Watu walinishika mikono nisiporomoke. Nililia, si kwa sababu tu ya usaliti, bali kwa sababu ya aibu mbele ya watu. Ilikuwa ni fedheha kubwa zaidi ya yote kuwahi kunitokea. Niliondoka ukumbini nikiwa nimechanganyikiwa na moyo wangu umejaa huzuni. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post