Mazishi Kuvurugwa Migori Baada ya Jeneza Kukataa Kuteremka Kwenye Kaburi Hadi Siri Ifichuke!

 

Mzuka wa ajabu uliibuka kwenye mazishi ya mzee maarufu wa kijiji cha Kanyamkago, baada ya jeneza lililokuwa limebeba mwili wake kugoma kushuka kaburini kwa zaidi ya saa moja huku likitetemeka na kuinuka lenyewe kila mara lilipokaribia shimo la mazishi.

Kisa hicho kilitokea mbele ya waombolezaji waliokuwa wamesimama kimya wakiwa na majonzi, lakini hali ikabadilika na kuwa tafrani ya kutisha, baada ya watu kushuhudia jeneza likiwa limebebwa na vijana wanne likianza kupepesa upande mmoja bila kushikiliwa.

Vijana waliokuwa wameliteka likiwa tayari kwenye kaburi walianza kulalamika kuwa mikono yao ilikuwa inasukumwa nyuma na nguvu isiyoonekana, jambo lililosababisha mmoja wao kuanguka kwa kishindo huku akipiga kelele kwamba kuna mtu ndani ya jeneza ambaye hajakata roho. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post