Matokeo Yanga vs Tabora united Mechi ya kirafiki

Kikosi cha Yanga jana kilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Tabora United ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Wananchi

Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam

Mabao ya Yanga yalifungwa na Prince Dube, Pacome Zouzoua na Celestin Ecua aliyepachika mabao mawili

Huo ni mchezo wa tatu wa kirafiki kwa Yanga ikishinda mechi zote

Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au HAPA kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post