Fanya jambo ili uwe na bahati maishani

 

Je, umewahi kusikia watu wakisema mtu fulani ana bahati maishani?, ukweli ni kwamba kuna watu wana bahati sana katika maisha yao, unaona kila jambo analofanya anafanikiwa.

Anaanza bishara leo baada ya miezi kadhaa yupo mbali ilihali kuna watu wanafanya biashara hiyo hiyo lakini hawana muelekeo wowote katika maisha yao, hata kibiashara.

Naona akiingia kwenye kilimo msimu mmoja tu anatoka na mavuno mengi, akipeleka mtoto shule anakuwa mwenye kufanikiwa, akiingia katika siasa anakuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa ndani ya jamii na Taifa lake.

Yaani kila jambo analotia mkono kulifanya linakuwa lenye kumpata matokeo makubwa ndani ya muda mfupi wakati wengine wamekuwepo katika eneo hilo kwa miaka mingi. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post