Ugomvi wa wazazi wakubwa ulikuwa mkubwa lakini nikaumaliza

 


Naitwa Salma, suala la ugomvi lilikuwa limekita mizizi kwenye ndoa ya wazazi wangu, kila mara walipigana makonde nisijue ningeanzia wapi kuwasaidia.

Baba alikuwa ni mtu mpole na mara nyingi hakupenda ugomvi na mtu yeyote, ila mama kwa upande wake alikuwa ni mtu mpenda kelele sana na kila wakati alipokosewa hakutulia au kutaka suluhisho. Soma zaidi hapa. 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post