TAARIFA MPYA KUTOKA SIMBA NI KUHUSU USAJILI

TAARIFA MPYA KUTOKA SIMBA NI KUHUSU USAJILI

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPAau HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha


 Wanasiiimbaaaaa! mnaambiwa mambo tayari yameiva...! Bandika bandua ya utambulisho wa wachezaji wapya inatarajiwa kuanza wakati wowote

Wanasimba mmesubiri sana katika dirisha hili, kulikuwa na taarifa nyingi za kukatisha tamaa pia, lakini sasa fuko la pesa alilotoa Rais wa heshima Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' limefanya kazi sawasawa

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali na kitengo chake, wapo tayari kuweka hadharani 'vyuma' vipya

Unaambiwa watagusa kila pembe ya Afrika na watamaliza kazi yao kuleeeee Visiwani Zanzibaaaaaaaar

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post