Kwa miaka mingi nilikuwa najituma kweli. Kila kazi niliyopata niliifanya kwa bidii, nikipata pesa ya kutosha kulingana na mshahara au biashara, lakini bado mwisho wa mwezi nilikuwa sina kitu. Ilinishangaza sana kwa sababu sikuwa mtu wa anasa. Nilikuwa na bajeti ya kila kitu, lakini fedha ilipotea tu kana kwamba ninaitupa shimoni.
Marafiki walinicheka, wengine wakasema labda sina nidhamu ya fedha. Nilijaribu kufuata ushauri wa kifedha, nikasoma vitabu vya uwekezaji, nikapunguza matumizi. Lakini bado, kila hela iliyoingia ilipotea ghafla kupitia njia zisizoeleweka. Soma zaidi hapa.
Post a Comment