RASMI: SINGIDA BS WAMUAGA JONATHAN SOWAH UELEKEO NI SIMBA

RASMI: SINGIDA BS WAMUAGA JONATHAN SOWAH UELEKEO NI SIMBA

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kbonyeza HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha


 Klabu ya Singida BS imethibitisha aliyekuwa mshambuliaji wao Jonathan Sowah amejiunga na Simba baada ya makubaliano kufikiwa

Taarifa iliyotolewa na Singida BS imebainisha kuwa mchezaji huyo amejiunga na Simba kwa makubaliano maalum baina ya mlezi wa klabu hiyo Dk Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Waziri wa Fedha, Rais wa heshima wa Simba bilionea Mohammed Dewji 'Mo' na uongozi wa klabu hiyo kwa ujumla

Sasa ni rasmi, Sowah ni usajili unaosubiri kutambulishwa Simba Sc

Usikose kuzitazama mechi hizi leo ARSENAL vs NEW CASTLE, TANZANIA vs SENEGAL na BARCELONA vs VISSEL KOBE  LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post