Nililia Usiku Kila Siku Baada ya Kujifungua Kumbe Ni Kivuli Cha Mimba Kilikuwa Bado Kimenishika

 


Sikuwahi kufikiria kuwa baada ya kujifungua mtoto wangu wa kwanza, maisha yangu yangekuwa machungu kuliko hata kipindi cha ujauzito. Siku chache tu baada ya kutoka hospitalini, nilianza kulia kila usiku bila sababu ya moja kwa moja. Mtoto alikuwa mzima, analala vizuri, lakini mimi kila nikijifunika nilipatwa na huzuni usioelezeka.

Mume wangu alidhani labda ni “baby blues” au msongo wa kihisia wa uzazi. Alinileta kwa kliniki ya afya ya akili, nikaandikiwa dawa lakini hali haikubadilika. Kulia kulizidi, hata mchana nikikumbuka usiku unakuja, machozi hunitoka tu. Nilianza kuona ndoto za ajabu mara niko wodi ya wazazi nikiwa na damu, mara najikuta nalilia mtoto nisiyemjua. Soma zaidi hapa. 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post