Sikutegemea kwamba maisha yangu ya ndoa yangefika mahali pa kusikitisha kiasi hicho. Kila mtu aliyetuona mimi na mke wangu alidhani tunafurahia maisha. Kwa nje, tulionekana wanandoa wa kupigiwa mfano, lakini kwa ndani, kulikuwa na giza nene. Giza ambalo halikuonekana kwa macho, bali lilihisiwa na mioyo yetu.
Tatizo lilianza taratibu. Nilianza kujisikia uchovu wa mara kwa mara, lakini si ule wa kazi uchovu wa nafsi. Wakati mwingine ningekuwa tayari kwa mahaba, lakini mwili haukuonyesha ushirikiano.
Ilikuwa aibu. Sikuweza kumweleza mke wangu kwa undani. Badala yake, niligeukia visingizio: kazi nyingi, mawazo ya biashara, au hata kisingizio cha usingizi wa haraka. Lakini moyoni nilijua sikuwa sawa.
Kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, tulikuwa kwenye ndoa isiyo na moto wa mapenzi. Tulikuwa tunalala kitanda kimoja lakini kila mmoja akiwa mbali na mwenzake, sio kwa mwili bali kwa moyo. Nilitamani nimwambie ukweli, lakini aibu ilinifanya nibaki kimya. Nilihofia ataniangalia kwa jicho la tofauti labda hata kunipoteza kabisa.
Mwaka jana, nikiwa kazini, nilisikia mazungumzo ya wanaume wenzangu wakizungumzia masuala ya nyota na jinsi yanavyoathiri maisha ya watu, hasa kwenye ndoa na uwezo wa kimapenzi. Soma zaidi hapa.


Post a Comment