Ndoa Yangu Ilikuwa Imekufa Tulikuwa Tunaishi Kama Wageni Hadi Pete ya Mapenzi Ilituunganisha Tena

 


Mara ya mwisho mimi na mume wangu kuongea kwa furaha ilikuwa miezi minane kabla ya haya yote kubadilika. Tulikuwa tunaishi nyumba moja, kitanda kimoja, lakini kila mmoja alikuwa na ulimwengu wake.

Maongezi yetu yalikuwa ya matusi, lawama au kimya cha kuudhi. Kulikuwa hakuna tena kicheko, hakuna kugusana, hakuna kutazamana kwa mapenzi. Ilifika mahali hadi watoto wetu waliuliza kama baba yao alikuwa bado anaishi nyumbani. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post