Wazazi na walimu katika wilaya ya Singida walibaki vinywa wazi baada ya matokeo ya mitihani ya kitaifa kutangazwa na jina la mtoto wa shule ya msingi mwenye historia ya kufeli kila mara kuongoza kitaifa.
Hili halikuwa jambo la kawaida, hasa kwa wazazi wenzangu waliomfahamu mwanangu kama mmoja wa wanafunzi waliokuwa hawajishughulishi darasani, mara nyingi akiwa nyuma ya darasa kwa alama.
Mwaka jana, matokeo ya mtihani wa wilaya yaliponishtua sana. Mwanangu aliambulia daraja la mwisho kati ya wanafunzi wote, jambo lililonitia hofu na aibu isiyoelezeka.
Nilijilaumu sana kama mzazi kwamba labda sijamsaidia vya kutosha, au kuna kitu nimekosea katika malezi. Lakini hata walimu wake walithibitisha kuwa alikuwa mvivu, hana motisha na haonyeshi dalili ya kubadilika.
Tulijaribu kila njia ya kawaida: tulimpeleka kwenye tuition za jioni, tulinunua vitabu vya ziada, hata kumtumia mshauri wa kitaaluma kwa wiki kadhaa. Lakini kila alama ilizidi kuwa mbaya. Mara alishindwa kujieleza, mara hakuweza kukumbuka hata vitu alivyofundishwa siku moja kabla. Soma zaidi hapa .

Post a Comment