Mtoto Wangu Alizaliwa na Meno Na Ndoto Zikaanza Kumwonyesha Mambo Ambayo Hakuwahi Kufundishwa

 

Wakati wa kujifungua mwanangu wa kwanza, nilishangaa sana kumuona akiwa na meno mawili ya mbele. Wakunga waliokuwa chumba cha kujifungulia hawakuficha mshangao wao. Mmoja alisema, “Hii ni alama ya mtoto mwenye maono.” Kwa wakati huo sikuelewa maana kamili ya maneno hayo, lakini maisha yangu yalibadilika kabisa kuanzia hapo.

Mtoto wangu, tuliamua kumwita Baraka, alianza kuonyesha tabia za kipekee akiwa bado mchanga. Akiwa na miezi sita tu, alianza kuonyesha ishara za kutokutaka kumbeba mtu fulani akimuona.

Mara nyingine alilia sana bila sababu, lakini baadaye tukigundua kulikuwa na jambo baya karibu nasi. Nilihisi haya yote ni mambo ya kawaida ya utoto hadi alipoanza kuongea.

Baraka alianza kuongea mapema sana, akiwa na miezi kumi na moja. Kitu cha ajabu ni kwamba alianza kuniambia ndoto alizokuwa nazo ndoto ambazo zilikuwa na maana nzito na hata wakati mwingine zilihusiana na matukio yaliyokuja kutokea baadaye. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post