Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo fundi Lassine Kouma (21), aliyekuwa akikipiga katika klabu ya Stade Malien
Kouma anayemudu vyema majukumu ya kucheza kama kiungo mshambuliaji namba 10, ameweza kutua Yanga baada ya Wananchi kuishinda vita ya kumsajili mbele ya watani zao Simba na Al Hilal
Kouma amekabidhiwa jezi namba 8 ambayo ilikuwa inatumiwa na Khalid Aucho aliyepewa mkono wa kwaheri baada ya mkataba wake kumalizika
.jpeg)
Post a Comment