Jina langu ni Julith, katika maisha yangu niliwahi kusumbuliwa sana na tatizo la miguu kufa ganzi, sikujua ni wapi hili tatizo liliponipata, bali nishangaa tu shida hiyo ipo mwilini mwangu.
Nakumbuka siku hiyo nikuwa ndani ya gari nikisafiri kwenda kumuana ndugu yangu aliyekuwa amejaliwa kujifungua mtoto wa kiume, hivyo nilienda kumjulia hali na kumpa pongezi hizo muhimu.
Wakati nashuka ndipo nilianza kusikia miguu yangu imekufa ganzi, ilikuwa ni mara ya kwanza kutokewa na tatizo hilo maishani mwangu. Soma zaidi hapa.
Post a Comment