Kibu Denis mambo magumu marekani arudi Msimbazi

Kibu Denis mambo magumu marekani arudi Msimbazi

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha


 Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis amerejea nchini akitokea Marekani alikokuwa mapumziko

Akiwa Marekani, Kibu alifanya majaribio katika klabu ya Nashville SC kwa takribani wiki tatu ambapo inaelezwa winga huyo amefanya vyema katika majaribio hayo

Nashville SC  inaweza kutuma ofa Simba ili kumnunua, wakati ofa hiyo ikisubiriwa Kibu ametakiwa kuungana na wachezaji wenzake Misri ambao walitua Ismailia jana kuanza pre-season

Kibu huenda akaondoka nchini leo kuelekea Misri kuungana na kikosi tayari kwa maandalizi hayo

Simba itaweka kambi Misri kwa takribani siku 28 kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2025/26 ambapo kikosi kinatarajiwa kurejea nchini August 28 kwa wale mnaotumia app ya Phoenix bonyeza neno Read original kudownload App ya kuangalia mpira

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post