Je, unataka kuwa kiongozi au mwanasiasa mzuri?, fanya hivi

 


Hakuna kitu kizuri katika maisha au jamii kama kuwa na nguvu ya ushawishi, hiki ni kitu ambacho kila mtu anapenda kuwa nacho ingawa wanasiasa mara nyingi ndio huwa ukitamani ili waweze kufanya siasi zao kwa wepesi zaidi.

Singependa kutaja jina langu ila mimi ni miongoni mwa viongozi au wanasiasa wenye ushawishi kubwa katika eneo la Meru nchini Kenya, wananchi na jamii yangu wanapenda kile ambacho nafanya na hata kuzungumza.

Hata hivyo, miaka ya nyuma hali haikuwa hivyo, kama ungekuwa ni mkutano wa kisiasa, basi kila ambapo ningependa jukaani watu wangeweza kuondoka, ilishawahi kunitokea hiyo mara kadhaa. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post