Katika maisha kila mmoja kuna jambo ambalo anakuwa anatamani siku moja lije kumtokea, nami ndivyo ilivyokuwa baada ya upweke mara baada ya kuumizwa vikali katika mahusiano.
Jina langu ni Patricia, binti mrembo wenye umri wa miaka 28, naishi Dodoma Tanzania, nina elimu ya Chuo Kikuu nikiwa nimebobea upande wa Rasilimali Watu (HR), nimeajiriwa toka mwaka 2016. Soma zaidi hapa.
Post a Comment