Jackpot Ilikua Kama Ndoto Mpaka Nilipojua Siri ya Mshindi wa Kweli!


Mara ya kwanza nilipopata droo ya SportPesa ilikuwa mwaka jana mwezi wa nne. Nilikuwa nimeweka dau la shilingi 200 tu, na nilipata mechi zote sawa isipokuwa moja. Wale ambao walikuwa wamecheza kama mimi waliambulia mamilioni. Mimi nilibaki nikikodolea simu macho, nikijiuliza, “Mbona yangu tu ndiyo ikosee?”

Mwezi mmoja baadaye, bahati ilinichezea tena. Nilikosa timu mbili kati ya kumi na nane. Nafasi ilikuwa pale, ushindi ulikuwa karibu, lakini nikabaki na mshangao na huzuni. Nikaapa kutocheza tena.


Lakini kama mdudu wa mchezo, nikajikuta nimerudi tena kwenye programu ya kubet, mwezi wa saba nikakosa tena jackpot kwa mechi moja tu. Hii ya tatu iliniuma zaidi. Nilihisi kuna mkono wa kiroho unazuia ushindi wangu.

Rafiki yangu mmoja wa karibu aliniambia, “Wewe si wa kawaida. Hii si bahati mbaya tu. Kwanza unazikaribia jackpot mara nyingi sana kuliko watu wa kawaida. 

Lazima kuna kitu kinakulinda au kinakuzuia.” Hapo ndipo aliniongelea kuhusu watu wanaoweza kusaidia kuvunja vizuizi vya bahati hasa kwa wale wanaocheza michezo ya kubashiri. Soma zaidi hapa.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post